MSANII LULU SASA AHAMIA KWA MENEJA WA WEMA SEPETU.."MARTIN KADINDA"

0 comments

Taarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake kwa sasa.
Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Read More »
Blogger Tricks

JINAMIZI LA PICHA CHAFU LAIANDAMA BONGO MOVIE, MSANII APATA AIBU BAADA YA PICHA ZAKE CHAFU KUVUJA MTANDAONI..!! NEY WA MITEGO AHUSISHWA JUU YA SAKATA HILI

0 comments



Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimahaba na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni.


Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao mbalimbali na kuacha viulizo kwa wasanii wengi wanaomfahamu, mwandishi wetu alimtafuta Bozi ambaye alionekana kutafunatafuna maneno na kumtupia lawama nzito Nay wa Mitego ambaye aliwahi kumtumia picha hizo walipokuwa wapenzi.


“Mungu wangu sijui nitaweka wapi sura yangu, nilishtuka sana baada ya kuona picha hizo ni aibu kubwa kwangu, nashindwa hata kuelewa zimesambaa vipi maana hizi picha alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla hatujaachana sasa hata yeye namuuliza anasema eti hajazisambaza,” alisema msanii huyo.



BAADA YA KUNUSURIKA KICHAPO UJERUMANI.. DIAMOND PLATNUM AAMUA KUFANYA SHOW YA BURE STUTTGART UJERUMANI SEPTEMBER 20 KWA AJILI YA MASHABIKI WAKE..

0 comments


Baada ya show ya Diamond Platnumz iliyokuwa ifanyike mjini Stuttgart, Ujerumani kushindwa kufanyika mwishoni mwa mwezi uliopita na kusababisha vurugu kutoka kwa mashabiki waliofika ukumbini kumshuhudia star huyo wa ‘Number 1′, show hiyo inatarajiwa kufanyika September 20, 2014 bila kiingilio.

Read More »
0 comments

Culture is My life

0 comments